SERA YA FARAGHA YA ZARA

SERA YA
FARAGHA
YA ZARA

Ufafanuzi

"Taarifa za Kibinafsi" maana yake ni maelezo ya kibinafsi yanaweza kutambulika kama ilivyoelezwa katika Sheria ya Ulinzi wa Data ambayo inajumuisha lakini sio tu jina, nambari ya simu, nambari ya kitambulisho, data ya eneo.

Ukusanyaji wa habari

Tunatakiwa kisheria kukusanya taarifa fulani za kibinafsi na kisheria tunalazimika kukunyima huduma ikiwa taarifa kama hizo hazijatolewa. Mbali na wajibu wa kisheria uliotajwa hapo juu, tunaweka nakala ya mawasiliano kati yetu ili kuwezesha utoaji wa huduma bora. Bila taarifa kama hizo hatuwezi kutoa huduma bora.

Faragha

Tumejitolea kuheshimu na kulinda ufaragha wa taarifa tunazokusanya kutoka kwako. Taarifa yetu ya faragha, inayorebekishwa mara kwa mara, inaeleza jinsi tunavyoshughulikia maelezo yako ya kibinafsi, ni nani tunashiriki naye maelezo yako na hatua zinazochukuliwa kulinda faragha yako unapotumia Huduma yetu. Hii inaweza kupatikana kwenye Sera ya Faragha ya Mteja ya M-KOPA inayopatikana katika https://m-kopa.com/privacy. Iwapo huwezi kufikia kiungo au tovuti yetu tafadhali wasiliana nasi kwa njia yoyote ya huduma kwa wateja na uombe nakala.

Jinsi ya kuwasiliana nasi

Ikiwa una maswali yoyote kuhusu sera hii ya faragha au bidhaa na huduma zetu, tafadhali tutumie barua pepe kwa customercare@m-kopa.com

Mabadiliko kwa sera yetu ya faragha

M-KOPA inaweza kurekebisha au kusasisha sera ya faragha mara kwa mara, kwa hivyo ipitie mara kwa mara tafadhali. Tunaweza kukupa notisi za ziada kuambatana na marekebisho au masasisho yanayofaa katika kila hali. Kuendelea kwako kutumia bidhaa na huduma zetu baada ya marekebisho yoyote kwenye sera itajumuisha kukubali kwako marekebisho hayo.